// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
JKT TANZANIA YAWAKANDA FOUNTAIN GATE 1-0 PALE PALE KWARAA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEJKT TANZANIA YAWAKANDA FOUNTAIN GATE 1-0 PALE PALE KWARAA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
JKT TANZANIA YAWAKANDA FOUNTAIN GATE 1-0 PALE PALE KWARAA
BAO la kiungo mkongwe wa umri wa miaka 31, Najim Magulu dakika ya 34 limeipa JKT Tanzania ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Babati mkoani Manyara. Kwa ushindi huo, JKT Tanzania inafikisha pointi 16 na kusogea nafasi ya nane wakizidiwa tu wastani wa mabao na Mashujaa baada ya wote kucheza mechi 11, wakati Fountain Gate inabaki na pointi zake 17 za mechi 12 sasa nafasi ya sita.
Mostbet Türkiye Mobil Uygulamasını Indi
-
Mostbet Türkiye Mobil Uygulamasını Indir En İyi Bahis Empieza Online
Casino Platformu Content Mostbet’te Pasta” “oyunları Bir Kumarhane Için
Depozitoda ...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment