FEI TOTO AFUNGA PENALTI AZAM FC YAILAZA KAGERA SUGAR 1-0 CHAMAZI
BAO la mkwaju wa penalti la kiungo Feisal Salum Abdallah dakika ya 56 limeipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam. Kwa ushindi huo, Azam FC inafikisha pointi 24 katika mchezo wa 11 na kupanda nafasi ya pili ikiwazidi tu wastani wa mabao mabingwa watetezi, Yanga ambao pia wana mechi moja mkononi. Kwa upande wao Kagera Sugar baada ya kupoteza mchezo huo wanabaki na pointi zao nane za mechi 11 pia nafasi ya 14.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment