BODI ya Ligi Shirikisho la Soka Tanzania (TPLB) imemfungia Kocha Muargentina, Miguel Angel Gamondi aliyefukuzwa leo Yanga kwa kosa la kumshambulia Kocha wa Fiziki wa Singida Black Stars Marouene Slimani.
Tukio hilo lilitokea katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baina ya timu hizo Yanga ikishinda 1-0 Uwanja wa New Amaan Comolex, Zanzibar.
0 comments:
Post a Comment