
Saturday, November 30, 2024

WENYEJI, Mashujaa wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Lake...
YANGA YAZINDUKIA KUSINI MWA NCHI, YAICHAPA NAMUNGO 2-0 RUANGWA
Saturday, November 30, 2024
MABINGWA watetezi, Yanga hatimaye wamezinduka baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Ta...
Friday, November 29, 2024
TABORA UNITED YAWACHAPA KMC 2-0 KAMA WAMESIMAMA MWENGE
Friday, November 29, 2024
TIMU ya Tabora United imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Ha...
JKT TANZANIA YAWAKANDA FOUNTAIN GATE 1-0 PALE PALE KWARAA
Friday, November 29, 2024
BAO la kiungo mkongwe wa umri wa miaka 31, Najim Magulu dakika ya 34 limeipa JKT Tanzania ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Fountain Gate kat...
Thursday, November 28, 2024
AZAM FC YAICHAPA SINGIDA BLACK STARS 2-1 CHAMAZI
Thursday, November 28, 2024
WENYEJI, Azam FC wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Singida Black Stars katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa...
Wednesday, November 27, 2024
SIMBA SC YAANZA VYEMA MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA
Wednesday, November 27, 2024
WENYEJI, Simba Sports wameanza vyema hatua ya 16 Bora ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Bravos do Maquis jioni ...
GAMONDI AONDOKA TANZANIA AKIIACHIA YANGA ‘UJUMBE MZITO’
Wednesday, November 27, 2024
ALIYEKUWA Kocha wa Yanga, Muargentina Miguel Angel Gamondi ameondoka Alfajiri ya leo kurejea kwao huku akisema ataikumbuka daima timu hiyo n...
Tuesday, November 26, 2024
YANGA 'BADO GONJWA' YABABULIWA 2-0 NA AL HILAL NYUMBANI
Tuesday, November 26, 2024
MABINGWA wa Tanzania, Yanga wameanza vibaya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuchapwa mabao 2-0 nyumbani na Al Hilal Omdurman ya...
Monday, November 25, 2024
AUSSEMS AONDOLEWA SINGIDA BAADA YA MECHI TATU BILA USHINDI
Monday, November 25, 2024
KLABU ya Singida Black Stars imesitisha mikataba na makocha wake, Mbelgiji Patrick Aussems na msaidizi wake, Dennis Kitambi kufuatia timu ku...
TABORA UNITED YATOKA NYUMA KUTOA SARE NA SINGIDA 2-2 MWINYI
Monday, November 25, 2024
WENYEJI, Tabora United wametoka nyuma na kupata sare ya 2-2 na Singida Black Stars katika mchezo wa wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara asuhuhi...
Sunday, November 24, 2024
DODOMA JIJI YAIBAMIZA KMC 2-1 JAMHURI
Sunday, November 24, 2024
WENYEJI, Dodoma Jiji wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Jamhu...
JKT TANZANIA YAICHAPA PRISONS 1-0 MBWENI
Sunday, November 24, 2024
BAO la kiungo Hassan Iddi Kapalata dakika ya pili limeipa JKT Tanzania ushindi wa 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya...
TP MAZEMBE MALKIA WAPYA WA KABUMBU BARANI AFRIKA, FAR RABAT 'WAFA KISHUJAA'
Sunday, November 24, 2024
TIMU ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) jana ilifanikiwa kutwaa taji Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake baada ya ushi...
Saturday, November 23, 2024
FEI TOTO AFUNGA PENALTI AZAM FC YAILAZA KAGERA SUGAR 1-0 CHAMAZI
Saturday, November 23, 2024
BAO la mkwaju wa penalti la kiungo Feisal Salum Abdallah dakika ya 56 limeipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa ...
MASHUJAA YAICHAPA NAMUNGO FC 1-0 UWANJA WA LAKE TANGANYIKA
Saturday, November 23, 2024
BAO pekee mshambuliaji anayetumika kama mlinzi kwa sasa, Abdulrahman Mussa dakika ya tano tu limeipa Mashujaa FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Nam...
KEN GOLD YATOA SARE 1-1 NA COASTAL UNION UWANJA WA SOKOINE
Saturday, November 23, 2024
WENYEJI, Ken Gold wametoa sare ya kufungana bao 1-1 na Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa S...
SIMBA SC YASITISHA MKATABA NA CEO MNYARWANDA, MWANAMAMA ZUBEDA ACHUKUA NAFASI
Saturday, November 23, 2024
KLABU ya Simba imesitisha mkataba na Mtendaji wake Mkuu, Mnyarwanda Francois Regis kwa maridhiano ya pande zote mbili kutokana na kile kilic...
TWIGA STARS YAPANGWA NA MABINGWA WATETEZI BANYANA WAFCON 2205
Saturday, November 23, 2024
TANZANIA imepangwa Kundi C pamoja na mabingwa watetezi, Afrika Kusini, Ghana na Mali katika Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (WAFCON) z...
Friday, November 22, 2024
PAMBA JIJI 0-1 SIMBA SC (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
Friday, November 22, 2024
SIMBA YAICHAPA PAMBA 1-0 KIRUMBA NA KUJIPA 'SPACE' KILELENI LIGI KUU
Friday, November 22, 2024
VIGOGO, Simba SC wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Pamba Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwa...
YANGA NA COPCO, SIMBA NA KILIMANJARO, AZAM NA IRINGA SC KOMBE LA CRDB
Friday, November 22, 2024
MABINGWA watetezi, Yanga SC watamenyana na Copco FC ya Mwanza katika Raundi ya Pili ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu k...
Thursday, November 21, 2024
FOX DIVAS YA MARA YATWAA UBINGWA WA BETPAWA NBL WANAWAKE
Thursday, November 21, 2024
TIMU ya mpira wa kikapu ya wanawake, Fox Divaz kutoka Mara, imetwaa ubingwa wa Tanzania betPawa NBL, baada ya kuibuka na ushindi dhidi ya ...
Wednesday, November 20, 2024
TASWA YAIPONGEZA TFF NA TAIFA STARS KUFUZU FAINALI ZA AFCON 2025
Wednesday, November 20, 2024
CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) Kimelipongeza Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kuiwezesha timu ya t...
WAFURIKA JANGWANI KUNUNUA JEZI MPYA ZA YANGA LIGI YA MABINGWA
Wednesday, November 20, 2024
MASHABIKI na wapenzi wa Yanga wakiwa kwenye foleni makao makuu ya klabu yao, makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani, Kariakoo, Dar es Salaam...
SIMBA SC YATAMBULISHA JEZI ZA MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO
Wednesday, November 20, 2024
AFISA Habari wa klabu ya Simba, Ahmed Ally akionyesha moja ya jezi mpya za Simba maalum kwa ajili ya Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho Af...
RAIS DK SAMIA AWAZAWADIA TAIFA STARS SH MILIKONI 700 KUFUZU AFCON
Wednesday, November 20, 2024
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ameizawadia timu ya soka ya taifa ya Tanzania Shilingi Milioni 700 kwa kufu...
Tuesday, November 19, 2024
MSUVA AIPELEKA TAIFA STARS AFCON 2025
Tuesday, November 19, 2024
HATIMAYE Tanzania imefanikiwa kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) ya mwakani nchini Morocco baada ya ushindi wa bao 1-0 dhi...
DB LIONESS, FOX DIVAZ KUWANIA UBINGWA WA BETPAWA NBL LEO
Tuesday, November 19, 2024
FAINALI ya wanawake mashindano ya klabu bingwa ya mpira wa kikapu nchini “betPawa NBL” itafanyika keshom Jumatano Novemba 20, 2024 kwa me...
DIARRA, SIMBA NA YANGA ZATUPWA NJE TANO BORA YA TUZO CAF
Tuesday, November 19, 2024
KIPA wa Yanga na timu ya taifa ya Mali, Djigui Diarra kwa mara nyingine ameenguliwa kwenye orodha ya wachezaji watano wanaowani Tuzo ya Kipa...
Monday, November 18, 2024
YANGA SC YAENDELEA KUBORESHA BENCHI LA UFUNDI
Monday, November 18, 2024
KLABU ya Yanga imeendelea kuimarisha Benchi lake la Ufundi kwa kutambulisha Maafisa wawili wapya, Mmarekani mwenye asili ya Somalia, Abdiham...
DAR CITY, ABC KATIKA MCHUANO MKALI KUWANIA UBINGWA WA BETPAWA NBL 2024
Monday, November 18, 2024
Wachezaji wa mpira wa kikapu katika mechi tofauti za kuwania klabu bingwa ya Tanzania (betPawa NBL 2024) yanayo endelea kwenye uwanja wa Chi...
Saturday, November 16, 2024
TAIFA STARS YAFUFUA MATUMAINI YA KUFUZU AFCON BAADA YA KUICHAPA ETHIOPIA 2-0
Saturday, November 16, 2024
TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeweka hai matumaini ya kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 baada ya u...
Friday, November 15, 2024
RAMOVIC WA TS GALAXY AFRIKA KUSINI NDIYE KOCHA MPYA WA YANGA
Friday, November 15, 2024
MJERUMANI mwenye asili ya Bosnia and Herzegovina, Sead Ramovic (45) ndiye kocha mpya wa mabingwa wa Tanzania, Yanga anayechukua nafasi ya Mu...
BODI YA LIGI YAMSINDIKIZA GAMONDI NA ‘KIFUNGO’ NA FAINI YA MILIONI 2
Friday, November 15, 2024
BODI ya Ligi Shirikisho la Soka Tanzania (TPLB) imemfungia Kocha Muargentina, Miguel Angel Gamondi aliyefukuzwa leo Yanga kwa kosa la kumsha...
YANGA YAMFUTA KAZI GAMONDI NA MSAIDIZI WAKE MSENEGAL
Friday, November 15, 2024
KLABU ya Yanga imeachana na kocha wake, Muargentina Miguel Angel Gamondi pamoja na msaidizi wake, Moussa N’Daw baada ya msimu mmoja na nusu ...
Subscribe to:
Posts (Atom)