// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); VICTOR OSIMHEN APIGWA CHINI MWANASOKA BORA AGRIKA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE VICTOR OSIMHEN APIGWA CHINI MWANASOKA BORA AGRIKA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, October 25, 2024

    VICTOR OSIMHEN APIGWA CHINI MWANASOKA BORA AGRIKA


    MWANASOKA Bora wa Afrika, Victor Osimhen anayecheza kwa mkopo Galatasaray ya Uturuki kutoka Napoli ya Italia hayumo kwenye orodha ya awali ya wachezaji 10 wanaowania Tuzo hiyo kwa mwaka huu ambayo itatolewa Desemba 16 Jijini Marrakech nchini Morocco.
    Lakini Wanigeria wenzake wawili, Ademola Lookman wa Atalanta ya Italia na William Troost-Ekong wa Al Kholood ya Saudi Arabia wamo katika orodha hiyo iliyotolewa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF).
    Tuzo za CAF zinazingatia yaliyotokea kuanzia Januari hadi Desemva mwaka huu. 
    ORODHA KAMILI YA WANAOWANIA TUZO
    MWANASOKA BORA WA KIUME

    Amine Gouiri (Algeria / Rennes)
    Edmond Tapsoba (Burkina Faso / Bayer Leverkusen)
    Simon Adingra (Cote d'Ivoire / Brighton & Hove Albion)
    Chancel Mbemba (DR Congo / Olympique Marseille)
    Serhou Guirassy (Guinea / Borussia Dortmund)
    Achraf Hakimi (Morocco / Paris Saint-Germain)
    Soufiane Rahimi (Morocco / Al Ain)
    Ademola Lookman (Nigeria / Atalanta)
    William Troost Ekong (Nigeria / Al Kholood)
    Ronwen Williams (South Africa / Mamelodi Sundowns) 
    KİPA BORA WA MWAKA WA KIUME
    Goalkeeper of the Year (Men) 
    Oussama Benbot (Algeria / USM Alger)
    Andre Onana (Cameroon / Manchester United)
    Yahia Fofana (Cote d'Ivoire / Angers SCO)
    Lionel Mpasi (DR Congo / Rodez AF)
    Mostafa Shobeir (Egypt / Al Ahly)
    Djigui Diarra (Mali / Young Africans)
    Munir El Kajoui (Morocco / RS Berkane)
    Stanley Nwabali (Nigeria / Chippa United)
    Ronwen Williams (South Africa / Mamelodi Sundowns)
    Amanallah Memmiche (Tunisia / Esperance Sportive de Tunis) 
    MCHEZAJI BORA ANAYECHEZA KLABU YA AFRİKA 
    Oussama Benbot (Algeria / USM Alger)
    Issoufou Dayo (Burkina Faso / RS Berkane)
    Ahmed Sayed 'Zizo' (Egypt / Zamalek)
    Hussein El Shahat (Egypt / Al Ahly)
    Mostafa Shobeir (Egypt / Al Ahly)
    Abdul Aziz Issah (Ghana / Dreams FC)
    John Antwi (Ghana / Dreams FC)
    Amanallah Memmiche (Tunisia / Esperance Sportive de Tunis)
    Yassine Merriah (Tunisia / Esperance Sportive de Tunis)
    Ronwen Williams (South Africa / Mamelodi Sundowns) 
    KOCHA BORA WA MWAKA MWANAUME
    Pedro Goncalves (Angola)
    Brahima Traore (Burkina Faso)
    Emerse Fae (Cote d'Ivoire)
    Sebastien Desabre (DR Congo)
    Jose Gomes (Zamalek)
    Marcel Koller (Al Ahly)
    Chiquinho Conde (Mozambique)
    Hugo Broos (South Africa)
    Florent Ibenge (Al Hilal)
    Kwesi Appiah (Sudan) 
    MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI WA MWAKA MWANAUME
    Carlos Baleba (Cameroon / Brighton & Hove Albion)
    Karim Konate (Cote d'Ivoire / Salzburg)
    Oumar Diakite (Cote d'Ivoire / Reims)
    Yankuba Minteh (Gambia / Brighton & Hove Albion)
    Abdul Aziz Issah (Ghana / Dreams FC / Barcelona)
    Bilal El Khannouss (Morocco / Leicester City)
    Eliesse Ben Seghir (Morocco / AS Monaco)
    El Hadji Malick Diouf (Senegal / Slavia Prague)
    Lamine Camara (Senegal / AS Monaco)
    Amanallah Memmiche (Tunisia / Esperance Sportive de Tunis) 
    KLABU BORA YA MWAKA WANAUME
    Petro Atletico (Angola)
    TP Mazembe (DR Congo)
    Al Ahly (Egypt)
    Zamalek (Egypt)
    Dreams FC (Ghana)
    RS Berkane (Morocco)
    Mamelodi Sundowns (South Africa)
    Simba (Tanzania)
    Young Africans (Tanzania)
    Esperance Sportive de Tunis (Tunisia) 
    TIMU BORA YA TAIFA WANAUME
    Angola
    Burkina Faso
    Cote d'Ivoire
    DR Congo
    Morocco
    Mozambique
    Nigeria
    South Africa
    Sudan
    Uganda 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: VICTOR OSIMHEN APIGWA CHINI MWANASOKA BORA AGRIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top