// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SINGIDA YAWACHAPA MASHUJAA WA KIGOMA 1-0 PALE PALE LAKE TANGANYIKA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SINGIDA YAWACHAPA MASHUJAA WA KIGOMA 1-0 PALE PALE LAKE TANGANYIKA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, October 04, 2024

    SINGIDA YAWACHAPA MASHUJAA WA KIGOMA 1-0 PALE PALE LAKE TANGANYIKA


    TIMU ya Singida Black Stars imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji, Mashujaa katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
    Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee, kiungo Mtogo Marouf Tchakei dakika ya 86 na kwa ushindi huo, Singida Black Stars wanafikisha pointi 16 katika mchezo wa sita.
    Kwa upande wao Mashujaa ambayo leo imepoteza mchezo wa kwanza wa msimu inabaki na pointi tisa za mechi sita pia.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SINGIDA YAWACHAPA MASHUJAA WA KIGOMA 1-0 PALE PALE LAKE TANGANYIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top