// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SIMBA YAPANGWA NA TIMU ZA ALGERIA, TUNISIA NA ANGOLA KOMBE LA SHIRIKISHO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SIMBA YAPANGWA NA TIMU ZA ALGERIA, TUNISIA NA ANGOLA KOMBE LA SHIRIKISHO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, October 07, 2024

    SIMBA YAPANGWA NA TIMU ZA ALGERIA, TUNISIA NA ANGOLA KOMBE LA SHIRIKISHO


    KLABU ya Simba SC imepangwa Kundi A katika Kombe la Shirikisho Afrika pamoja na  CS Sfaxien ya Tunisia, CS Constantine ya Algeria na Bravos do Maquis ya Angola.
    Katika Kundi B kuna RS Berkane ya Morocco, Stade Malien ya Mali, Stellenbosch ya Afrika Kusini na  Lunda Sul ya Angola.
    Kundi C nano kuna USM Alger ya Algeria, ASEC Mimosas ya Ivory Coast, ASC Jaraaf ya Senegal na Orapa United ya Botswana  na Kundi D kuna Zamalek, Al Masry za Misri, Enyimba yab Nigeria na Black Bulls ya Msumbiji.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA YAPANGWA NA TIMU ZA ALGERIA, TUNISIA NA ANGOLA KOMBE LA SHIRIKISHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top