// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SIMBA SC YAAMSHA HASIRA, YAITWANGA NAMUNGO 3-0 MWENGE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SIMBA SC YAAMSHA HASIRA, YAITWANGA NAMUNGO 3-0 MWENGE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, October 25, 2024

    SIMBA SC YAAMSHA HASIRA, YAITWANGA NAMUNGO 3-0 MWENGE


    VIGOGO, Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, KMC Complex, Mwenge, Dar es Salaam.
    Mabao ya Simba SC leo yamefungwa na beki mzawa, Shomari Salum Kapombe dakika ya nne, viungo Muivory Coast, Jean Charles Ahoua dakika ya 33 na Muangola mwneye uraia wa Kongo pia, Debora Fernandes Mavambo dakika ya 85.
    Simba SC inafikisha pointi 19 baada ya ushindi huo na kusogea nafasi ya pili, ikizidiwa pointi tatu na Singida Black Stars baada ya wote kucheza mechi nane. 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC YAAMSHA HASIRA, YAITWANGA NAMUNGO 3-0 MWENGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top