// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SALIBOKO AWEKA MBILI KMC YAIBANJUA PRISONS 2-1 PALE PALE SOKOINE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SALIBOKO AWEKA MBILI KMC YAIBANJUA PRISONS 2-1 PALE PALE SOKOINE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, October 26, 2024

    SALIBOKO AWEKA MBILI KMC YAIBANJUA PRISONS 2-1 PALE PALE SOKOINE


    TIMU ya KMC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
    Mabao ya KMC leo yamefungwa na mshambuliaji Daruweshi Saliboko dakika ya 30 na 60, huku bao pekee la Tanzania Prisons likifungwa na mshambuliaji, Oscar Mwajanga dakika ya 76.
    Kwa ushindi huo, KMC inafikisha pointi 11 na kusogea nafasi ya saba, wakati Tanzania Prisons inabaki na pointi zake saba nafasi ya 12 baada ya wote kucheza mechi tisa.    
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SALIBOKO AWEKA MBILI KMC YAIBANJUA PRISONS 2-1 PALE PALE SOKOINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top