// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); DODOMA JIJI YAICHAPA JKT TANZANIA 1-0 BAO LA PENALTI JAMHURI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE DODOMA JIJI YAICHAPA JKT TANZANIA 1-0 BAO LA PENALTI JAMHURI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, October 27, 2024

    DODOMA JIJI YAICHAPA JKT TANZANIA 1-0 BAO LA PENALTI JAMHURI


    BAO pekee la beki Heritier Lulihoshi dakika ya 71 kwa penalti jana liliipa Dodoma Jiji FC ushindi wa 1-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.
    Kwa ushindi huo, Dodoma Jiji inayofundishwa na kocha Mecky Mexime inafikisha pointi 12 na kusogea nafasi ya saba, wakati JKT Tanzania inabaki na pointi zake 10 nafasi ya 10 baada ya wote kucheza mechi tisa.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DODOMA JIJI YAICHAPA JKT TANZANIA 1-0 BAO LA PENALTI JAMHURI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top