// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); COASTAL UNION YAICHAPA DODOMA JIJI 2-0 SHEIKH AMRI ABEID - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE COASTAL UNION YAICHAPA DODOMA JIJI 2-0 SHEIKH AMRI ABEID - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, October 18, 2024

    COASTAL UNION YAICHAPA DODOMA JIJI 2-0 SHEIKH AMRI ABEID


    TIMU ya Coastal Union ya Tanga imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.
    Mabao ya Coastal Unio leo yamefungwa na mshambuliaji Maabad Maulid Maabad dakika ya pili na beki kutoka Kongo -Brazzaville, Hernest Briyock Malonga dakika ya 88.
    Kwa ushindi huo, Coastal Union inafikisha pointi nane katika mchezo wa nane na kusogea nafasi ya tisam, wakati Dodoma Jiji inabaki na pointi zake tisa za mechi nane pia nafasi ya nane.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: COASTAL UNION YAICHAPA DODOMA JIJI 2-0 SHEIKH AMRI ABEID Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top