// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); BALEKE AFUNGA BAO PEKEE YANGA YAILAZA COASTAL UNION 1-0 ARUSHA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BALEKE AFUNGA BAO PEKEE YANGA YAILAZA COASTAL UNION 1-0 ARUSHA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, October 26, 2024

    BALEKE AFUNGA BAO PEKEE YANGA YAILAZA COASTAL UNION 1-0 ARUSHA


    BAO pekee la mshambuliaji Mkongo, Jean Othos Baleke dakika ya 25 limeisaidia Yanga kushinda 1-0 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha
    Kwa ushindi huo, mabingwa hao watetezi, Yanga inafikisha pointi 21 katika mchezo wa saba na kurejea nafasi ya pili nyuma ya Singida Big Stars wenye pointi moja zaidi na mchezo mmoja zaidi pia, wakati Coastal Union inabaki na pointi zake nane za mechi tisa nafasi ya 10.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BALEKE AFUNGA BAO PEKEE YANGA YAILAZA COASTAL UNION 1-0 ARUSHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top