// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); 10/01/2024 - 11/01/2024 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE 10/01/2024 - 11/01/2024 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, October 31, 2024
    KMC YAICHAPA NAMUNGO FC 1-0 BAO PEKEE LA CHAMBO MWENGE

    KMC YAICHAPA NAMUNGO FC 1-0 BAO PEKEE LA CHAMBO MWENGE

    BAO pekee la Rashid Chambo dakika ya tatu limetosha kuipa KMC ushindi wa 1-0 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Luu ya NBC Tanzania B...
    Wednesday, October 30, 2024
    YANGA SC WAPANDA KILELENI LİGİ KUU BAADA YA KUICHAPA SINGIDA 1-0 ZANZIBAR

    YANGA SC WAPANDA KILELENI LİGİ KUU BAADA YA KUICHAPA SINGIDA 1-0 ZANZIBAR

    MABINGWA watetezi, Yanga hatimaye wamepanda kileleni mwa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Singida Black Stars ...
    Tuesday, October 29, 2024
    KEN GOLD YAAMBULIA SARE NA KWA DODOMA JIJI, 2-2 SOKOINE

    KEN GOLD YAAMBULIA SARE NA KWA DODOMA JIJI, 2-2 SOKOINE

    WENYEJI, Ken Gold wamelazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na Dodoma Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania jioni ya leo Uwanja wa...
    COASTAL UNION  YAICHAPA KAGERA SUGAR 1-0 SHEIKH AMRI ABEID

    COASTAL UNION YAICHAPA KAGERA SUGAR 1-0 SHEIKH AMRI ABEID

    BAO la dakika za lala salama za Abdallah Semfuko limeipa Coastal Union ushindi wa 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC...
    Monday, October 28, 2024
    NAMUNGO FC YAICHAPA PAMBA JIJI 1-0 RUANGWA BAO LA MKOKO

    NAMUNGO FC YAICHAPA PAMBA JIJI 1-0 RUANGWA BAO LA MKOKO

    WENYEJI, Namungo FC wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Pamba Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Ma...
    FOUNTAIN GATE YAAMBULIA SARE KWA MASHUJAA, 2-2 BABATI

    FOUNTAIN GATE YAAMBULIA SARE KWA MASHUJAA, 2-2 BABATI

    TIMU za Fountain Gate na Mashujaa zimegawana pointi kwa sare ya kufungana mabao 2-2 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanj...
    TAIFA STARS YACHAPWA 1-0 NA SUDAN MECHI YA KUFUZU CHAN MAURITANIA

    TAIFA STARS YACHAPWA 1-0 NA SUDAN MECHI YA KUFUZU CHAN MAURITANIA

    TIMU ya soka ya taifa ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars usiku wa jana imefungwa bao 1-0 na Sudan kwenye Uwanja wa Cheikha Ould Boïdiya Jijin...
    Sunday, October 27, 2024
    BOCCO, NDEMLA NA DILUNGA WAUMIA AJALI YA BASI LA JKT TANZANIA

    BOCCO, NDEMLA NA DILUNGA WAUMIA AJALI YA BASI LA JKT TANZANIA

    WACHEZAJI kadhaa wa JKT Tanzania wamerepotiwa kuumia katika ajali ya basi lao wakitokea Dodoma ambako jana walikuwa wana mchezo wa Ligi Kuu ...
    LEWANDOWSKI APIGA MBILI BARCA YAIKANYAGA REAL 4-0 PALE PALE BERNABEU

    LEWANDOWSKI APIGA MBILI BARCA YAIKANYAGA REAL 4-0 PALE PALE BERNABEU

    MKONGWE Robert Lewandowski usiku wa jana alifunga mabao mawili kuiwezesha Barcelona kushinda 4-0 dhidi ya wenyeji, Real Madrid katika mchezo...
    DODOMA JIJI YAICHAPA JKT TANZANIA 1-0 BAO LA PENALTI JAMHURI

    DODOMA JIJI YAICHAPA JKT TANZANIA 1-0 BAO LA PENALTI JAMHURI

    BAO pekee la beki Heritier Lulihoshi dakika ya 71 kwa penalti jana liliipa Dodoma Jiji FC ushindi wa 1-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo...
    Saturday, October 26, 2024
    BALEKE AFUNGA BAO PEKEE YANGA YAILAZA COASTAL UNION 1-0 ARUSHA

    BALEKE AFUNGA BAO PEKEE YANGA YAILAZA COASTAL UNION 1-0 ARUSHA

    BAO pekee la mshambuliaji Mkongo, Jean Othos Baleke dakika ya 25 limeisaidia Yanga kushinda 1-0 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi...
    SALIBOKO AWEKA MBILI KMC YAIBANJUA PRISONS 2-1 PALE PALE SOKOINE

    SALIBOKO AWEKA MBILI KMC YAIBANJUA PRISONS 2-1 PALE PALE SOKOINE

    TIMU ya KMC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa...
    Friday, October 25, 2024
    AZAM FC YAUWASHA MOTO, YAITANDIKA KEN GOLD 4-1 CHAMAZI

    AZAM FC YAUWASHA MOTO, YAITANDIKA KEN GOLD 4-1 CHAMAZI

    WENYEJI, Azam FC wameibuka na ushindi wa mabao 4-1 Ken Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Azam Complex, Chama...
    SIMBA SC YAAMSHA HASIRA, YAITWANGA NAMUNGO 3-0 MWENGE

    SIMBA SC YAAMSHA HASIRA, YAITWANGA NAMUNGO 3-0 MWENGE

    VIGOGO, Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja Halmashauri...
    SINGIDA BLACK STARS WAICHAPA FOUNTAIN GATE 2-0 LITI

    SINGIDA BLACK STARS WAICHAPA FOUNTAIN GATE 2-0 LITI

    TIMU ya Singida Black Stars imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Fountain  Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwan...
    Thursday, October 24, 2024
    SIMBA NA YANGA ZAWANIA TUZO YA KLABU BORA AFRIKA

    SIMBA NA YANGA ZAWANIA TUZO YA KLABU BORA AFRIKA

    VIGOGO wa soka nchini, Simba na Yanga wameingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania Tuzo ya Klabu Bora ya Mwaka Afrika baada ya kufika Robo Fa...
    Tuesday, October 22, 2024
    YANGA YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LİGİ KUU

    YANGA YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LİGİ KUU

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wameendeleza rekodi ya ushindi wa mechi zote tangu kuanza kwa msimu wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya le...
    SIMBA SC YAZINDUKA, YAICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 SOKOINE

    SIMBA SC YAZINDUKA, YAICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 SOKOINE

    TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo U...
    AISHI MANULA AREJESHWA TAIFA STARS KUWAKABILI SUDAN KUFUZU CHAN

    AISHI MANULA AREJESHWA TAIFA STARS KUWAKABILI SUDAN KUFUZU CHAN

    KİPA Aishi Salum Manula ndiye mkongwe pekee aliyeitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars cha wachezaji wanaocheza nyum...
    Monday, October 21, 2024
    MGUNDA AFUNGA MAWILI MASHUJAA YAITANDIKA KEN GOLD 3-0 KIGOMA

    MGUNDA AFUNGA MAWILI MASHUJAA YAITANDIKA KEN GOLD 3-0 KIGOMA

    WENYEJI, Mashujaa FC wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Ken Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Lake Tanga...
    FOUNTAIN GATE YAILAMBA KMC MABAO 3-1 TANZANITE KWARAA

    FOUNTAIN GATE YAILAMBA KMC MABAO 3-1 TANZANITE KWARAA

    WENYEJI, Fountain Gate wameibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Tanzanite Kwa...
    TABORA UNITED YAFUKUZA MAKOCHA WAKE WAKENYA TIMU KUFANYA VIBAYA

    TABORA UNITED YAFUKUZA MAKOCHA WAKE WAKENYA TIMU KUFANYA VIBAYA

    KLABU ya Tabora United imeachana na Makocha wake Wakenya, Francis Kimanzi na Msaidizi wake, Yussuf Chipo baada ya kuwa na timu tangu mwanzo ...
    Sunday, October 20, 2024
    SINGIDA BLACK STARS YAILAZA NAMUNGO FC 2-0 LITI

    SINGIDA BLACK STARS YAILAZA NAMUNGO FC 2-0 LITI

    TIMU ya Singida Black Stars imeendelea kutamba kileleni mwa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Namungo FC ...
    PAMBA JIJI NA KAGERA SUGAR ZAGAWANA MABAO NA POINTI KIRUMBA

    PAMBA JIJI NA KAGERA SUGAR ZAGAWANA MABAO NA POINTI KIRUMBA

    WENYEJI, Pamba Jiji wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na jirani zao, Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo ...
    NGORONGORO HEROES MABINGWA MICHUANO YA CECAFA U20

    NGORONGORO HEROES MABINGWA MICHUANO YA CECAFA U20

    TANZANIA imetwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kwa vijana chini ya umri wa miaka 20, CECAFA U20 baada ya ushindi w...
    Friday, October 18, 2024
    BOCCO APIGA MBILI JKT TANZANIA YAITANDIKA TABORA UNITED 4-2 MBWENI

    BOCCO APIGA MBILI JKT TANZANIA YAITANDIKA TABORA UNITED 4-2 MBWENI

    WENYEJI, JKT Tanzania wameibuka na ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa ...
    AZAM FC YAWAZIMA PRISONS PALE PALE MBEYA, YAWAPIGA 2-0 SOKOINE

    AZAM FC YAWAZIMA PRISONS PALE PALE MBEYA, YAWAPIGA 2-0 SOKOINE

    TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa...
    COASTAL UNION YAICHAPA DODOMA JIJI 2-0 SHEIKH AMRI ABEID

    COASTAL UNION YAICHAPA DODOMA JIJI 2-0 SHEIKH AMRI ABEID

    TIMU ya Coastal Union ya Tanga imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo U...
    TANZANIA YAFUZU AFCON U20 BAADA YA KUITOA UGANDA MICHUANO YA CECAFA

    TANZANIA YAFUZU AFCON U20 BAADA YA KUITOA UGANDA MICHUANO YA CECAFA

    TANZANIA imekata tiketi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 20 baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya...
    MPULIZA KIPYENGA SIMBA NA YANGA KESHO RAMADHANI KAYOKO

    MPULIZA KIPYENGA SIMBA NA YANGA KESHO RAMADHANI KAYOKO

    REFA Ramadhan Kayoko wa Dar es Salaam ndiye atakayechezesha mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga kesho Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Da...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top