// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); TANZANIA PRISONS SARE TENA, 0-0 NA DODOMA JIJI SOKOINE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE TANZANIA PRISONS SARE TENA, 0-0 NA DODOMA JIJI SOKOINE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, September 21, 2024

    TANZANIA PRISONS SARE TENA, 0-0 NA DODOMA JIJI SOKOINE


    WENYEJI Tanzania Prisons wamelazimishwa sare ya bila mabao na Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
    Kwa matokeo hayo, Tanzania Prisons inafikisha pointi nne katika mchezo wa nne, ukiwa ni mwendelezo wa sare za bila mabao kwenye zake pamoja zile za awali dhidi ya Pamba Jiji, Mashujaa FC na Tabora United.
    Kwa upande wao Dodoma Jiji sare hiyo inawafanya wafikishe pointi sita katika mchezo wa tano, nne za awali wakifungwa moja, 1-0 na Mashujaa na sare mbili, 0-0 na Pamba na 2-2 na Fountaine Gate. 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TANZANIA PRISONS SARE TENA, 0-0 NA DODOMA JIJI SOKOINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top