• HABARI MPYA

        Sunday, September 15, 2024

        SOMOE NG’ITU MWENYEKITI MPYA SOKA YA WANAWAKE TANZANIA


        MWANDISHI nguli wa Habari za Michezo nchini, Somoe Robert Ng’itu jana ameshinda Uenyekiti wa Chama cha Soka ya Wanawake Tanzania (TWFA) katika uchaguzi uliofanyika jana Moshi mkoani Kilimanjaro.
        Katika uchaguzi huo uliofanyika ukumbi wa hoteli ya Snow View, njia panda ya Himo, Somoe alipata kura 37 dhidi ya 14 za mpinzani wake, Amina Ali Kaluma aliyekuwa anajaribu kutetea nafasi yake.



        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: SOMOE NG’ITU MWENYEKITI MPYA SOKA YA WANAWAKE TANZANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry