// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SINGIDA YA KWANZA KUIFUNGA PAMBA, YAICHAPA 1-0 KIRUMBA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SINGIDA YA KWANZA KUIFUNGA PAMBA, YAICHAPA 1-0 KIRUMBA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, September 17, 2024

    SINGIDA YA KWANZA KUIFUNGA PAMBA, YAICHAPA 1-0 KIRUMBA


    TIMU ya Singida Black Stars imeendeleza wimbi la ushindi katika mchezo wa nne mfululizo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya kuwachapa wenyeji, Pamba Jiji FC bao 1-0 mchana wa leo Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
    Bao pekee la Singida Black Stars inayofundishwa na Kocha Mbelgiji, Patrick Aussems limefungwa na kiungo Mghana, Emmanuel Kwame Keyekeh dakika ya kwanza tu ya mchezo huo.
    Singida Black Stars inafikisha pointi na kuendelea kuongoza ligi, wakati Pamba Jiji FC iliyo chini ya Kocha Mserbia, Goran Kopunovic inabaki na pointi zake tatu baada ya timu zote kucheza mechi nne.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SINGIDA YA KWANZA KUIFUNGA PAMBA, YAICHAPA 1-0 KIRUMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top