• HABARI MPYA

        Sunday, September 15, 2024

        SIMBA SC YAWABANA AL AHLY KWAO, 0-0 TIPOLI


        TIMU ya Simba SC ya bila mabao na wenyeji, Al Ahly Tirpoli usiku huu katika mchezo wa kwanza Hatua ya 32 Bora Kombe la Shirikisho Afrika Ijumaa Uwanja wa Juni 11 Jijini Tripoli nchini Libya.
        Timu hizo zitarudiana Jumapili ya Septemba 22 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam na mshindi wa jumla atakwenda hatua ya 16 Bora inayochezwa kwa mtindo wa makundi.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: SIMBA SC YAWABANA AL AHLY KWAO, 0-0 TIPOLI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry