KIKOSI cha Simba SC kinatarajiwa kuondoka Alfajri ya kesho kwenda Tripoli nchini Libya kwa ajili ya mchezo wa kwanza Hatua ya 32 Bora Kombe la Shirikisho Afrika Ijumaa Uwanja wa Juni 11 Jijini humo .
Timu hizo zitarudiana Septemba 20 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam na mshindi wa jumla atafuzu Hatua ya 16 Bora ambayo huchezwa kwa mtindo wa makundi.
Wachezaji waliopo kwenye timu za taifa kwa ajili ya mechi za kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 wataungana na wenzao Jijini Tripoli.
GONGA KUTAZAMA WACHEZAJI WANAOSAFIRI KWENDA LIBYA
0 comments:
Post a Comment