// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SIMBA SC YAICHAPA DODOMA JIJI 1-0 JAMHURI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SIMBA SC YAICHAPA DODOMA JIJI 1-0 JAMHURI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, September 29, 2024

    SIMBA SC YAICHAPA DODOMA JIJI 1-0 JAMHURI


    TIMU ya Simba SC imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Dodoma Jiji usiku huu Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.
    Bao pekee la Simba SC leo limefungwa na kiungo Muivory Coast, Jean Charles Ahoua kwa mkwaju wa penalti dakika ya 63 akimchambua kipa Mkongo, Ngeleka Alain Katembua kufuatia beki na Nahodha wa Simba, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ kuangushwa kwenye boksi.
    Kwa ushindi huo, Simba SC inafikisha pointi 12 katika mchezo wa nne, wakati Dodoma Jiji wanabaki na pointi zao sita kufuatia kucheza michezo sita msimu huu.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC YAICHAPA DODOMA JIJI 1-0 JAMHURI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top