• HABARI MPYA

        Thursday, September 05, 2024

        NASSOR HAMOUD AONGEZA MKATABA AZAM FC HADİ MWAKA 2026

         

        KIUNGO mshambuliaji  Nassor Saadun Hamoud ameongeza mkataba wa mwaka mmoja kuichezea Azam FC hadi mwaka 2026.
        Hamoud alijiunga na Azam FC Julai mwaka huu kwa mkataba wa mwaka mmoja kutoka Geita Gold, lakini kazi nzuri aliyoifanya ndani ya muda mfupi inamfanya aongezewe muda wa kutoa huduma Azam Complex.


        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: NASSOR HAMOUD AONGEZA MKATABA AZAM FC HADİ MWAKA 2026 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry