• HABARI MPYA

        Friday, September 06, 2024

        MKUTANO MKUU WA MWAKA SIMBA SC KUFANYIKA OKTOBA 6 JNICC

        MKUTANO Mkuu wa mwaka wa klabu ya Simba inatarajiwa kufanyika Oktoba 6 kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Jilius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam.

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: MKUTANO MKUU WA MWAKA SIMBA SC KUFANYIKA OKTOBA 6 JNICC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry