// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KEN GOLD YAANZA KUKUSANYA POINTI LIGI KUU, SARE 1-1 NA TABORA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KEN GOLD YAANZA KUKUSANYA POINTI LIGI KUU, SARE 1-1 NA TABORA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, September 28, 2024

    KEN GOLD YAANZA KUKUSANYA POINTI LIGI KUU, SARE 1-1 NA TABORA


    TIMU ya Ken Gold imepata pointi ya kwanza tangu ipande Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya sare ya 1-1 na Tabora United katika mchezo wake wa sita wa msimu leo Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
    Ken Gold ilitangulia kwa bao la Hubert Lukindo dakika ya 12, kabla ya Mkongo Andy Bikoko kuiswazishia Tabora United dakika ya 77.
    Sare hiyo inaifanya Tabora United inayocheza Ligi kwa msimu wa pili tangu ipande ifikishe pointi nane, wakati Ken Gold ndio inapata pointi ya kwanza baada ya timu zote kucheza mechi sita.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KEN GOLD YAANZA KUKUSANYA POINTI LIGI KUU, SARE 1-1 NA TABORA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top