Sunday, September 22, 2024

    JOSHUA KWISHA HABARI YAKE, ADUNDWA TENA KWA KNOCKOUT RAUNDI YA TANO


    BONDIA Daniel Dubois usiku wa jana amefanikiwa kutetea taji lake IBF uzito wa juu baada ya kumdunda kwa Knockout (KO) raundi ya tano Muingereza mwenzake, Anthony Joshua Uwanja w  Wembley Jijini London, England.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JOSHUA KWISHA HABARI YAKE, ADUNDWA TENA KWA KNOCKOUT RAUNDI YA TANO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry