// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); JKT TANZANIA YATOA SARE YA TATU MFULULIZO, 0-0 NA KMC LEO MBWENI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE JKT TANZANIA YATOA SARE YA TATU MFULULIZO, 0-0 NA KMC LEO MBWENI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, September 22, 2024

    JKT TANZANIA YATOA SARE YA TATU MFULULIZO, 0-0 NA KMC LEO MBWENI


    TIMU ya JKT Tanzania imelazimishwa sare ya bila kufungana na KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Meja Jenerali Mstaafu Isamuhyo, Mbweni Jijini Dar es Salaam.
    Huo unakuwa mwendelezo suluhu tupu kwa JKT Tanzania tangu kuanza kwa msimu wa 2024-2025 baada ya awali kushindwa kufungana pia na Azam FC hapo hapo Mbweni na Kagera Sugar Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.
    Kwa upande wao KMC wanafikisha pointi tano katika mchezo wa tano, nne za awali wakishinda moja, sare moja na kufungwa mbili.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JKT TANZANIA YATOA SARE YA TATU MFULULIZO, 0-0 NA KMC LEO MBWENI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top