// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); JKT TANZANIA YAICHAPA COASTAL UNION 2-1 MBWENI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE JKT TANZANIA YAICHAPA COASTAL UNION 2-1 MBWENI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, September 25, 2024

    JKT TANZANIA YAICHAPA COASTAL UNION 2-1 MBWENI


    TIMU ya JKT Tanzania imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Meja Jenerali Mstaafu Isamuhyo, Mbweni, Dar es Salaam.
    Mabao ya JKT Tanzania yamefungwa na viungo wa zamani wa Simba, Hassan Dilunga dakika ya 14 kwa penalti na Shiza Kichuya 48, wakati la Coastal Union limefungwa na John Makwata dakika ya 27.
    Kwa ushindi huo, JKT Tanzania inafikisha pointi sita katika mchezo wa nne, tatu za awali wakitoa sare zote, wakati Coastal Union inabaki na pointi yake moja kufuatia kucheza mechi tano.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JKT TANZANIA YAICHAPA COASTAL UNION 2-1 MBWENI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top