Friday, September 06, 2024

    FARID MUSSA KUWA NJE MIEZI MITATU BAADA YA KUFANYIWA UPASUAJI


    KIUNGO Farid Malik Mussa Shah anatarajiwa kuwa nje ya Uwanja wa kwa miezi miwili hadi mitatu baada ya mapema leo kufanyiwa upasuaji wa misuli iliyochanika nyuma ya goti. 
    Pichani ni Makamu wa Rais wa klabu hiyo, Arafat Haji aliyemtembela leo kumfariji mchezaji huyo.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: FARID MUSSA KUWA NJE MIEZI MITATU BAADA YA KUFANYIWA UPASUAJI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry