• HABARI MPYA

        Wednesday, September 11, 2024

        CLEMENT MZIZE MCHEZAJI BORA WA YANGA MWEZI AGOSTI


        MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Tanzania, Clement Francis Mzize ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa mwezi Agosti wa klabu hiyo.
        Kwa ushindi huo, Mzize aliyewaangusha dhidi ya kipa wa Mali, Djigui Diarra na kiungo Mkongo, Maxi Mpia Nzengeli - atazawadiwe Fedha Shilingi cha Sh. Milioni 3 kutoka kwa wadhamini, kampuni ya NIC Insurance. 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: CLEMENT MZIZE MCHEZAJI BORA WA YANGA MWEZI AGOSTI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry