• HABARI MPYA

        Sunday, September 08, 2024

        AZAM FC YAICHAPA BLACK SAILORS 3-1 MECHI YA KIRAFIKI CHAMAZI


        TIMU ya Azam FC jana iliibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Black Sailors ya Zanzibar katika mchezo wa kirafiki 
        kujiweka sawa kwa mechi zao zijazo za Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.
        Mabao ya Azam FC jana yalifungwa na kiungo Mghana, James Akaminko, washambuliaji Mcolombia, Franklin Navarro kwa penalty na Muiviry Coast, Franck Beadelaire Tiesse.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: AZAM FC YAICHAPA BLACK SAILORS 3-1 MECHI YA KIRAFIKI CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry