// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); AHOUA MCHEZAJI BORA, FADLU KOCHA BORA LIGI KUU MWEZI AGOSTI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE AHOUA MCHEZAJI BORA, FADLU KOCHA BORA LIGI KUU MWEZI AGOSTI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, September 02, 2024

    AHOUA MCHEZAJI BORA, FADLU KOCHA BORA LIGI KUU MWEZI AGOSTI


    KIUNGO wa Simba SC, Muivory Coast Jean Charles Ahoua (22) ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa mwezi Agosti, huku kocha wake, Fadluraghman 'Fadlu' Davids akishinda Tuzo ya Kocha Bora.
    Kwa pamoja, wawili hao, Fadlu na Ahoua wameisaidia Simba kukusanya pointi sita katika mechi za mwanzo za msimu, wakichapa Tabora United 3-0 na Fountain Gate 4-0 Uwanja wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, KMC Complex, Dar es Salaam.
    Kwa mwezi huo wa kwanza wa msimu, Tuzo ya Ashraf Omar akibeba Tuzo ya Meneja Bora wa Uwanja kwa kazi yake nzuri Uwanja wa Meja Jenerali Mstaafu Isamuhyo, uliopo Mbweni Jijini Dar es Salaam.
       
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AHOUA MCHEZAJI BORA, FADLU KOCHA BORA LIGI KUU MWEZI AGOSTI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top