MABAO ya viungo Muivory Coast, Jean Charles Ahoua kwa penalti na mzawa, Salehe Karabaka Kikuya leo yaliipa Simba SC ushindi wa 2-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni (KMC), Mwenge Jijini Dar es Salaam.
GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI
0 comments:
Post a Comment