// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); 09/01/2024 - 10/01/2024 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE 09/01/2024 - 10/01/2024 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, September 29, 2024
    YANGA YAICHAPA KMC 1-0 BAO PEKEE LA MAXI MPIA NZENGELI

    YANGA YAICHAPA KMC 1-0 BAO PEKEE LA MAXI MPIA NZENGELI

    BAO la dakika ya tano la kiungo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Maxi Mpia Nzengeli limeipa Yanga ushindi wa 1-0 dhidi ya KMC kati...
    SIMBA SC YAICHAPA DODOMA JIJI 1-0 JAMHURI

    SIMBA SC YAICHAPA DODOMA JIJI 1-0 JAMHURI

    TIMU ya Simba SC imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Dodoma Jiji usi...
    MASHUJAA NA AZAM NGOMA DROO, 0-0 LAKE TANGANYIKA

    MASHUJAA NA AZAM NGOMA DROO, 0-0 LAKE TANGANYIKA

    WENYEJI, Mashujaa FC wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Lake Tang...
    SINGIDA BLACK STARS YAPUNGUZWA KASI, SARE 1-1 NA JKT LITI

    SINGIDA BLACK STARS YAPUNGUZWA KASI, SARE 1-1 NA JKT LITI

    TIMU ya Singida Black Stars imepunguawa kasi baada ya kulazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NB...
    MAMA MARIA NYERERE AWAOMBEA DUA WAENDESHA BAISKELI KUMBUKUMBU YA MWALIMU

    MAMA MARIA NYERERE AWAOMBEA DUA WAENDESHA BAISKELI KUMBUKUMBU YA MWALIMU

    Na Asha Kigundula, Dar es Salaam          MJANE wa hayati Mwalimu Julius  Nyerere, Mama Maria Nyerere ametoa maombi na dua kwa waendesha ba...
    Saturday, September 28, 2024
    NAMUNGO FC YAICHAPA PRISONS 1-0 MAJALIWA

    NAMUNGO FC YAICHAPA PRISONS 1-0 MAJALIWA

    TIMU ya Namungo FC imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja ...
    COASTAL UNION YAANZA KUSHINDA MECHI ZAKE, YAICHAPA PAMBA 2-0

    COASTAL UNION YAANZA KUSHINDA MECHI ZAKE, YAICHAPA PAMBA 2-0

    TIMU ya Coastal Union imepata ushindi wa kwanza msimu wa 2024-2025 wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya kuichapa Pamba Jiji FC mabao 2-...
    KEN GOLD YAANZA KUKUSANYA POINTI LIGI KUU, SARE 1-1 NA TABORA

    KEN GOLD YAANZA KUKUSANYA POINTI LIGI KUU, SARE 1-1 NA TABORA

    TIMU ya Ken Gold imepata pointi ya kwanza tangu ipande Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya sare ya 1-1 na Tabora United katika mchezo wak...
    ZAMALEK WAIPIGA AL AHLY KWA MATUTA NA KUTWAA SUPER CUP YA AFRIKA

    ZAMALEK WAIPIGA AL AHLY KWA MATUTA NA KUTWAA SUPER CUP YA AFRIKA

    TIMU ya Zamalek usiku wa jana imefanikiwa kutwaa taji la Super Cup ya Afrika baada ya ushindi wa penalti 4-3 kufuatia sare ya 1-1 na mahasim...
    Wednesday, September 25, 2024
    BACCA AFUNGA BAO PEKEE YANGA YAICHAPA KEN GOLD 1-0  SOKOINE

    BACCA AFUNGA BAO PEKEE YANGA YAICHAPA KEN GOLD 1-0 SOKOINE

    BAO pekee la beki brahim Abdallah Hamad 'Bacca' dakika ya 13 limewapa mabingwa watetezi, Yanga SC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, K...
    JKT TANZANIA YAICHAPA COASTAL UNION 2-1 MBWENI

    JKT TANZANIA YAICHAPA COASTAL UNION 2-1 MBWENI

    TIMU ya JKT Tanzania imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Meja Jen...
    SIMBA SC WATINGA IKULU ZANZIBAR NA KUMKABIDHI RAIS MWINYI JEZI

    SIMBA SC WATINGA IKULU ZANZIBAR NA KUMKABIDHI RAIS MWINYI JEZI

    VIONGOZI, benchi la ufundi na wachezaji wa Simba wamepata nafasi ya kukutana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. ...
    Sunday, September 22, 2024
    AZAM FC YAICHAPA COASTAL UNION 1-0 CHAMAZI

    AZAM FC YAICHAPA COASTAL UNION 1-0 CHAMAZI

    WENYEJI, Azam FC wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa A...
    SIMBA SC YATINGA MAKUNDI SHIRIKISHO, WALIBYA ‘WAFA’  3-1 KWA MKAPA

    SIMBA SC YATINGA MAKUNDI SHIRIKISHO, WALIBYA ‘WAFA’ 3-1 KWA MKAPA

    WENYEJI, Simba SC wamefanikiwa kutinga Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya Al Ahli Tripoli ya Libya...
    JKT TANZANIA YATOA SARE YA TATU MFULULIZO, 0-0 NA KMC LEO MBWENI

    JKT TANZANIA YATOA SARE YA TATU MFULULIZO, 0-0 NA KMC LEO MBWENI

    TIMU ya JKT Tanzania imelazimishwa sare ya bila kufungana na KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Meja Jenerali Msta...
    JOSHUA KWISHA HABARI YAKE, ADUNDWA TENA KWA KNOCKOUT RAUNDI YA TANO

    JOSHUA KWISHA HABARI YAKE, ADUNDWA TENA KWA KNOCKOUT RAUNDI YA TANO

    BONDIA Daniel Dubois usiku wa jana amefanikiwa kutetea taji lake IBF uzito wa juu baada ya kumdunda kwa Knockout (KO) raundi ya tano Muinger...
    Saturday, September 21, 2024
    YANGA YATINGA MAKUNDI KIKUBWA, YAICHAPA CBE 6-0 ZENJI

    YANGA YATINGA MAKUNDI KIKUBWA, YAICHAPA CBE 6-0 ZENJI

    MABINGWA wa Tanzania, Yanga wamefuzu Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika inayochezwa kwa mtindo wa makundi baada ya ushindi wa mabao 6-...
    PAMBA JIJI WATOA SARE YA 2-2 NA MASHUJAA CCM KIRUMBA

    PAMBA JIJI WATOA SARE YA 2-2 NA MASHUJAA CCM KIRUMBA

    WENYEJI Pamba Jiji FC wamelazimishwa sare ya kufungana mabo 2-2 na Mashujaa FC ya Kigoma katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo ...
    TANZANIA PRISONS SARE TENA, 0-0 NA DODOMA JIJI SOKOINE

    TANZANIA PRISONS SARE TENA, 0-0 NA DODOMA JIJI SOKOINE

    WENYEJI Tanzania Prisons wamelazimishwa sare ya bila mabao na Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Sokoin...
    Friday, September 20, 2024
    Thursday, September 19, 2024
    AZAM FC YAANZA LIGI,YAIKUNG'UTA KMC MABAO 4-0 MWENGE

    AZAM FC YAANZA LIGI,YAIKUNG'UTA KMC MABAO 4-0 MWENGE

    TIMU ya Azam FC imeichapa KMC mabao 4-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania uliofanyika Uwanja wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni...
    Wednesday, September 18, 2024
    KARIA AKUTANA NA VIONGOZI WAKUU SIMBA NA YANGA KUYAJENGA

    KARIA AKUTANA NA VIONGOZI WAKUU SIMBA NA YANGA KUYAJENGA

    RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia na Makamu wake wa Kwanza wa Rais, Athumani Nyamlani leo wamekutana na Mwenyekiti wa...
    Tuesday, September 17, 2024
    NAMUNGO FC YAZINDUKA NA KUICHAPA COASTAL UNION 2-0 CHAMAZI

    NAMUNGO FC YAZINDUKA NA KUICHAPA COASTAL UNION 2-0 CHAMAZI

    TIMU ya Namungo FC imepata ushindi wa kwanza katika Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya kuichapa Coastal Union mabao 2-0 jioni ya leo Uwa...
    SINGIDA YA KWANZA KUIFUNGA PAMBA, YAICHAPA 1-0 KIRUMBA

    SINGIDA YA KWANZA KUIFUNGA PAMBA, YAICHAPA 1-0 KIRUMBA

    TIMU ya Singida Black Stars imeendeleza wimbi la ushindi katika mchezo wa nne mfululizo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya kuwachapa ...
    Monday, September 16, 2024
    SIMBA LA MIKEKA YA KUBASHIRI, LEONBET YAINGIA RASMI TANZANIA

    SIMBA LA MIKEKA YA KUBASHIRI, LEONBET YAINGIA RASMI TANZANIA

    Wafanyakazi   wa   kampuni   ya  LEONBET Tanzania  wakiwa katika   picha   ya   pamoja . Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam KAMPUNI   mpya   y...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top