MMILIKI wa timu ya Azam FC, Yussuf Said Salim Bakhresa amekutana kwa mazungumzo na wachezaji kuelekea mchezo wa kwanza Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya APR ya Rwanda Jumapili Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.
GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI
0 comments:
Post a Comment