Wednesday, August 07, 2024

    SOMOE NG’ITU ACHUKUA FOMU KUWANIA UENYEKITI TWFA


    KATIBU Mkuu wa  Chama cha Soka ya Wanawake Tanzania (TWFA), Somoe Ng’itu leo amechukua fomu za kuwania Uenyekiti wa Chama hicho katika uchaguzi utakaofanyika Septemba 14, mwaka huu mkoani Kilimanjaro. 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SOMOE NG’ITU ACHUKUA FOMU KUWANIA UENYEKITI TWFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry