Sunday, August 18, 2024

    SINGIDA YAIKARIBISHA LİGİ KUU KEN GOLD, YAITANDIKA 3-1 PALE PALE SOKOINE


    TIMU ya Singida Black Stars imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya wenyeji, Ken Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
    Mabao ya Singida Black Stars yamefungwa na Emmanuel Kayekeh dakika ya 41, Elvis Rupia dakika ya 62 na Mohamed Damaro dakika ya 81, wakati bao pekee la Ken Gold limefungwa na Joshua Ibrahim dakika ya 68.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SINGIDA YAIKARIBISHA LİGİ KUU KEN GOLD, YAITANDIKA 3-1 PALE PALE SOKOINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry