// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
SINGIDA BLACK STARS WAIKALISHA KAGERA SUGAER 1-0 PALE PALE KAITABA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINESINGIDA BLACK STARS WAIKALISHA KAGERA SUGAER 1-0 PALE PALE KAITABA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
SINGIDA BLACK STARS WAIKALISHA KAGERA SUGAER 1-0 PALE PALE KAITABA
TIMU ya Singida Black Stars leo imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji, Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. Bao pekee la Singida Black Stars limefungwa na beki wa kati Muivory Coast, Anthony Urbain Tra Bi Tra dakika ya 90'+2 na huo unakuwa ushindi wa pili mfululizo ugenini kufuatia ushindi wa 3-1 dhidi ya Ken Gold kwenye mchezo wa kwanza Jijini Mbeya.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment