• HABARI MPYA

        Sunday, August 11, 2024

        SIMBA SC WASHINDI WA TATU NGAO YA JAMII, COASTAL YAFA 1-0


        BAO la Saleh Karabaka Kikuya dakika ya 11 limeipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa kuwania nafasi ya tatu kwenye michuano ya Ngao ya Jamii leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: SIMBA SC WASHINDI WA TATU NGAO YA JAMII, COASTAL YAFA 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry