Thursday, August 22, 2024

    RAIS SAMIA AONGEA NA WADAU WAWILI WAKUBWA NCHINI WAZIFADHILI SIMBA NA YANGA

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amesema kwamba amezungumza na wadau wawili wakubwa nchini ili wazisaidie kiuchumi klabu za Simba na Yanga.
    Rais amesema hayo mapema leo wakati akiweka jiwe la Msingi wa ujenzi wa kituo cha Suluhu Sports Academy, Mkunguni – Kizimkazi, Zanzibar na kusema ujenzi wa kituo hicho utakaokamilika Aprili mwakani utasaidia kuzalisha vipaji zaidi vya vijana.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RAIS SAMIA AONGEA NA WADAU WAWILI WAKUBWA NCHINI WAZIFADHILI SIMBA NA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry