• HABARI MPYA

        Friday, August 02, 2024

        MO DEWJI ATEUA 'MIAMBA' SABA KUUNDA KAMATI YA MASHINDANO SIMBA SC

        MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Mohamed 'Mo' Dewji ameunda Kamati ya Mashindano itakayokuwa na Wajumbe saba, wakiwemo kigogo wa kundi la Friends Of Simba, Mohamed Nassor.
        Wajumbe wengine ni Azzan Said,Richard Mwalwiba, Nicky Magarinza, Juma Pinto, Farid Nahdi na Farough Baghozah.

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: MO DEWJI ATEUA 'MIAMBA' SABA KUUNDA KAMATI YA MASHINDANO SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry