• HABARI MPYA

        Thursday, August 15, 2024

        MBAPPE AFUNGA LA PILI REAL MADRID YATWAA UEFA SUPER CUP


        TIMU ya Real Madrid jana ilifanikiwa kutwaa taji la UEFA Super Cup baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Atalanta Bergamo Uwanja wa Narodowy Jijini Warsaw, Poland.
        Mabao ya Real Madrid yalifungwa na kiungo wa Kimataifa wa Uruguay, Federico Valverde dakika ya 59 akimalizia pasi ya mshambuliaji Mbrazil, Vinícius Júnior na la pili, mshambuliaji mpya, Mfaransa Kylian Mbappé akimalizia pasi ya kiungo Muingereza, Jude Bellingham dakika ya 68.
        GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: MBAPPE AFUNGA LA PILI REAL MADRID YATWAA UEFA SUPER CUP Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry