Friday, August 23, 2024

    MASHUJAA YAAMBULIA SULUHU KWA TZ PRISONS LAKE TANGANYIKA


    WENYEJI, Mashujaa FC wamelazimishwa sare ya bila mabao na jirani zao, Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
    Kwa matokeo hayo, Mashujaa inafikisha pointi nne baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji kweye mchezo wa kwanza, wakati Tanzania Prisons wanaokota pointi ya pili wakitoka kutoa sare nyingine ya bila mabao na Pamba Jiji Mwanza.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MASHUJAA YAAMBULIA SULUHU KWA TZ PRISONS LAKE TANGANYIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry