• HABARI MPYA

        Saturday, August 10, 2024

        MASHUJAA FC YAKUNG'UTA INTER STAR YA BURUNDI 4-1 KIGOMA


        WENYEJI, Mashujaa FC wameibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Inter Star ya Burundi katika mchezo wa kirafiki leo kuhitimisha tamasha la Mashujaa Day jioni ya leo Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
        Mabao ya Mashujaa FC yamefungwa na Abdulnasir Gamal, Ismail Mgunda, Nyenyezi Juma na Mundhir Vual.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: MASHUJAA FC YAKUNG'UTA INTER STAR YA BURUNDI 4-1 KIGOMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry