// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KMC YARIDHIA UHAMISHO WA AWESU KWENDA SIMBA SC - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KMC YARIDHIA UHAMISHO WA AWESU KWENDA SIMBA SC - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, August 15, 2024

    KMC YARIDHIA UHAMISHO WA AWESU KWENDA SIMBA SC


    KLABU ya KMC imeridhia kiungo Awesu Ally Awesu ajiunge na Simba SC baada ya maridhiano kufuatia mazungumzo ya pande zote mbili.
    Simba ilimsajili Awesu, lakini KMC ikaweka pingamizi ikidai bado ina mkataba na kiungo huyo.
    Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ikaelekeza Simba iwasiliane na KMC kwa ajili ya kufanya uhamisho wa mchezaji huyo.
    Jioni hii KMC imetoa taarifa ya kuridhia uhamisho wa Awesu baada ya kufikia maridhiano na Simba.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KMC YARIDHIA UHAMISHO WA AWESU KWENDA SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top