• HABARI MPYA

        Saturday, August 03, 2024

        KIBU DENNIS 'MKANDAJI' AREJEA SIMBA SC, ONANA ATIMKIA QATAR


        KIUNGO mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Kibu Dennis Prosper juzi alirejea nchini kutoka Norway alipokwenda kufanya majaribio ya kujiunga na klabu ya Strømsgodset IF II na kuungana na wenzake mazoezini tayari kwa msimu mpya.
        Aidha, Simba SC imeachana na kiungo mshambuliaji Mcameroon, Leandre Willy Essomba Onana ambaye imeripotiwa anakwenda Qatar.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: KIBU DENNIS 'MKANDAJI' AREJEA SIMBA SC, ONANA ATIMKIA QATAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry