AFISA Mtendaji Mkuu wa Simba SC, Imani Kajula leo amekutana na mbadala wake, Uwayezu Francois Regis, raia wa Rwanda ambaye atamkabidhi rasmi madaraka Agosti 31, mwaka huu.
Kajula amekuwa Mtendaji Mkuu wa Simba Januari mwaka jana akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Barbara Gonzalez aliyejiuzulu Desemba mwaka 2022 kwa notisi ya mwezi mmoja.
0 comments:
Post a Comment