• HABARI MPYA

        Wednesday, August 28, 2024

        JKT TANZANIA NA AZAM FC HAKUNA MBABE, SARE 0-0 MBWENI


        WENYEJI, JKT Tanzania wamelazimishwa sare ya bila mabao na Azam FC katika mchezo wa kwanza wa msimu wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa timu zote jioni ya leo Uwanja wa Meja Jenerali Mstaafu Isamuhyo, Mbweni Jijini Dar es Salaam.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: JKT TANZANIA NA AZAM FC HAKUNA MBABE, SARE 0-0 MBWENI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry