// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); DUBE, CHAMA NA AZIZ KI WAFUNGA YANGA YAWACHAPA VITAL'O 4-0 CHAMAZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE DUBE, CHAMA NA AZIZ KI WAFUNGA YANGA YAWACHAPA VITAL'O 4-0 CHAMAZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, August 17, 2024

    DUBE, CHAMA NA AZIZ KI WAFUNGA YANGA YAWACHAPA VITAL'O 4-0 CHAMAZI


    MABINGWA wa Tanzania, Yanga SC wametanguliza mguu mmoja hatua ya 32 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Vital'O ya Burundi katika mchezo wa kwanza Raundi ya Awali jioni ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.
    Mabao ya Yanga leo yamefungwa na mshambuliaji Mzimbabwe, Prince Dube Mpumelelo dakika ya sita, kiungo Clatous Chotta Chama dakika ya 68, msambuliaji mzawa, Clement Francis Mzize dakika ya 74 na kiungo Mburkinabe, Stephane Aziz Ki kwa penalti dakika ya 90'+1.
    Timu hizo zitarudiana Jumamosi ya Agosti 24 Uwanja wa Benjamn Mkapa, Dar es Salaam – na mshindi wa jumla atakutana na mshindi wa jumla kati Sports Club Villa ya Uganda na Commercial Bank ya Ethiopia.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DUBE, CHAMA NA AZIZ KI WAFUNGA YANGA YAWACHAPA VITAL'O 4-0 CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top