// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); COASTAL UNION YACHAPWA 3-0 ANGOLA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE COASTAL UNION YACHAPWA 3-0 ANGOLA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, August 17, 2024

    COASTAL UNION YACHAPWA 3-0 ANGOLA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA


    TIMU ya Coastal Union imejiweka njia panda katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuchapwa mabao 3-0 na wenyeji, Bravos do Maquis jioni ya leo katika mchezo wa kwanza Raundi ya Awali Uwanja wa Taifa wa Tundavala mjini Lubango nchini Angola .
    Timu hizo zitarudiana Agosti 25 Uwanja wa Azam Complex na mshindi wa jumla atakutana na St. Eloi Lupopo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
    Wawakilishi wengine wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho, Simba SC wataanzia Raundi ya Kwanza kwa kumenyana na mshindi kati ya Uhamiaji ya Zanzibar na Al Ahli Tripoli ya Libya.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: COASTAL UNION YACHAPWA 3-0 ANGOLA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top