KLABU ya Azam FC imeimaridha safu yake ya ulinzi kwa kumsajili mlinda mlango, Arjif Ali Amour kutoka KVZ ya Zanzibar kwa mkataba wa mwana mmoja.
Sasa Azam FC ina makipa watano, watatu wa kigeni, Msudan Mohamed Mustafa, Mghana Iddrisu Abdulai na Mcomoro, Ali Ahamada na mzawa mwingine mmoja, Zubery Foba.
0 comments:
Post a Comment