// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); AZAM FC YAICHAPA APR 1-0 BAO LA BLANCO KWA PENALTI CHAMAZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE AZAM FC YAICHAPA APR 1-0 BAO LA BLANCO KWA PENALTI CHAMAZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, August 18, 2024

    AZAM FC YAICHAPA APR 1-0 BAO LA BLANCO KWA PENALTI CHAMAZI


    WENYEJI, Azam FC imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya APR ya Rwanda katika mchezo  wa kwanza Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika usiku wa leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.
    Bao pekee la Azam FC limefungwa na mshambuliaji Mcolombia, Jhonier Alfonso Blanco Yus dakika ya 56 kwa penalti kufuatia kiungo mzawa, Feisal Salum Abdallah kuchezewa rafu kwenye eneo la hatari.
    Timu hizo zitarudiana Agosti 24 Uwanja wa Amahoro Jijini Kigali – na mshindi wa michezo hyo ya Raundi ya Awali atakutana na mshindi kati ya JKU na Pyramids ya Mısri kuwania kuingia hatua ya makundi, 16 Bora.  
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC YAICHAPA APR 1-0 BAO LA BLANCO KWA PENALTI CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top