Saturday, August 10, 2024

    AZAM FC YAAJIRI KOCHA MPYA KUTOKA EL MAREEIKH YA SUDAN


    KLABU ya Azam FC imezidi kujiimarisha kwa kuajili kocha mpya wa mazoezi ya utimamu wa mwili, urshid Ally Kika kutoka El Merreikh ya Sudan kwa mkataba wa miaka miwili, ambaye atakuwa Msaidizi wa Physio wa sasa, Mfaransa Jean-Laurent Geronimi.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC YAAJIRI KOCHA MPYA KUTOKA EL MAREEIKH YA SUDAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry